Wednesday 23 September 2009

MSIBA READING UK


Tunasikitika kuwapa taarifa za kifo cha Mtanzania mwenzetu Mama Natisha Gomera aliyekuwa akiishi hapa Reading -UK kilichotokea tarehe 20.09.2009 saa kumi jioni huko Tanzania kwa ajali ya gari akiwa na mtoto wake,japokuwa kuwa mtoto wa marehemu anaendelea vizuri,Marehemu alikuwa pia ni dada wa Fue,Mndima and Everlyne Babin.Msiba kwa sasa upo Slough kwa mdogo wake .Kwa wale watakaohitaji kutoa mkono wa pole kwa wafiwa basi walisilina nao kupitia namba hapa chini.

1:Everlyne Babin
17 SONNING COURT,
FARNBURN AVENUE,
SL1 4AG.
Tel : 07787142805
Account detail.
Miss E.BABIN
BANK NAME :BARCLAY'S BANK
SORT CODE:20-71-06
ACCOUNT NO:105 256 77
KUMBUKA KUWEKA JINA LAKO KAMA REFERENCE
2: Mndima Fue Tel 07833692695

No comments: