Tuesday 5 May 2009

Viongozi Wapya wa ATWID

Wajue wana ATWID katika picha mbalimbali za pamoja


Uongozi mpya wa TWID umechaguliwa Rasmi katika uchaguzi ambao ulifanyika tarehe 02/05/2009 pale WAREHOUSE READING, Ambapo walichaguliwa viongozi wapya wafuatao:
Mwenyekiti: Susan Mzee
Katibu Mkuu: Mackrina Kalinga
Katibu wa Fedha: Salome Buraganya
Katibu Muenezi: Susan Materu
Posted by Picasa

No comments: