Thursday 19 March 2009

TANZANIA ASSOCIATION - READING: WAKUTANA NA KUCHAGUA VIONGOZI WA MUDA

Picha ya pamoja ya viongozi wa muda baada ya ufunguzi wa
Tanzania Association Reading uliofanyika tarehe 15/03/2009.
Mkutano huo ulihudhuriwa na wawakilishi kutoka International
Organisation for Migration ( IOM - UK) pamoja na Mwakilishi kutoka
University of Edinburgh (Nyerere Scholarship).
Katika Mkutano huo, Viongozi wa muda walichaguliwa ili kuweza kufanya
maandalizi ya Mkutano Mkuu.
Viongozi hao ni kama wafuatao;
Mwenyekiti - Hussein Chang'a
Makamu Mwenyekiti - Bernard Chisumo
Katibu - Salome Buraganya
Katibu Msaidizi - Peter Respigy
Mweka Hazina - Flora Mkonyi
Mweka Hazina Msaidizi - Mbaruku Bendera
Wajumbe wengine wanne ambao ni;
Lulu
Joas
Mohammed Upete
Richard Kibaja

No comments: