Monday 30 March 2009

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Fredrick Tluway Sumaye atua mjini Reading UK, akutana na Watanzania

Mheshimiwa Fredrick Tluway Sumaye akiongozana na Mke wake, Esther Sumaye pamoja na Wakurugenzi wamiliki wa New Vincents Restaurant (Kilimanjaro) - Reading (UK) Ndugu Jafar Gardol (Kushoto), Kulia kabisa ni Ndugu Alan Kalinga (ambaye pia ni Mkurugenzi Mmiliki wa New Vincent Restaurant), nyuma kabisa ni Mwenyekiti wa Tawi la CCM - London UK, Maina Owino)

Mchungaji Tumaini Kallaghe (wa pili kutoka kushoto) wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri London UK, Anande Semwenda, Susan Mzee, Mama Sumaye, Mheshimiwa Fedrick Sumaye, Ndugu Joas, katika picha ya pamoja.

Posted by Picasa

No comments: