
MAHALI:
UKUMBI HEXAM COMMUNITY CENTER
READING 1A BAMBURGH CLOSE, RG2 7UD
KUTAKUWA NA UGENI KUTOKA CHUO KIKUU CHA EDINBURGH KWA AJILI YA KUELEZEA JINSI YA KUPATA UDHAMINI KWA KUPITIA MFUKO WA MWALIMU NYERERE KUTOKA KWENYE CHUO KIKUU HICHO CHA SCOTLAND [NEW MWALIMU NYERERE SCHOLARSHIP FOR TANZANIANS]
KUTAKUWA NA MGENI KUTOKEA CONCERN WORLD
MWAKILISHI WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA KUSHUGHULIKIA WAHAMIAJI [IOM]
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA;
MAIRA BENJAMINE MIGIRE- 07799212095
WOTE MNAKARIBISHWA – KUTAKUWA NA CHAKULA (free of charge) VINYWAJI VITAKUWEPO KWA KUJINUNULIA
KIINGILIO BURE!!!!!!!!
Akhsante.
No comments:
Post a Comment