Wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Ufunguzi Rasmi wa Association of Tanzanian Women in Diaspora walipokutana tarehe 21/09/2008, wakijadili mipango mbalimbali ili kufanikisha uzinduzi huo ambao utafanyika Rasmi tarehe 01/11/2008
Kutoka kushoto ni Bi Agatha Hamis, Bi Susan Mzee (Mwanzilishi/Founder - ATWID), Bi Tuli Ngonya, Bi Agnes Mokiwa(Mjumbe), Bi Kulthum Wambura (Mjumbe), Bi Susan Materu (Mjumbe) na Bi Patricia Kumalilwa (Mjumbe)
"FAILURE TO PLAN IS PLANNING TO FAIL" HAPA AKILI LAZIMA IFANYE KAZI SAWA SAWA.
Kikao kiliendelea vizuri wakati Wajumbe wote wakiwa na furaha
-
No comments:
Post a Comment